Tume ya sheria ya kimataifa
Mandhari
(Elekezwa kutoka ILC)
Tume ya sheria ya kimataifa (International Law Commission kifupi ILC ) ni taasisi ya Umoja wa Mataifa (UM).
Ilianzishwa mwaka 1947 na Mkutano Mkuu wa UM kwa shabaha ya kuendeleza kanuni za haki ya kimataifa. Mapendekezo yake mara nyingi yamekubaliwa na kuingia katika misingi ya haki ya kimataifa ya leo.
Tume ni kamati ya wataalamu wa sheria 34 wanaochaguliwa kwa kipindi cha miaka mitano. Wanatakiwa kutoka katika sehemu mbalimbali za dunia penye mifumo tofauti ya sheria. Wengi wao ni maprofesa na walimu wa sheria katika nchi zao.
Kuna mkutano wa kila mwaka huko Geneva, Uswisi.
Wanakamati wa tume kwa kipindi cha 2012 - 2016 walikuwa wafuatao:
- Dire D. Tladi, Afrika Kusini
- Ahmed Laraba, Algeria
- Enrique J.A. Candioti, Argentina
- Gilberto Vergne Saboia, Brazil
- Mr. Huang Huikang, China
- Marcelo Vázquez-Bermudez*, Ekuador
- Concepción Escobar Hernández, Hispania
- Narinder Singh, India
- Nugroho Wisnumurti, Indonesia
- Ki Gab Park, Jamhuri ya Korea
- Shinya Murase, Japani
- Mahmoud D. Hmoud, Jordani
- Maurice Kamto, Kamerun
- Donald M. McRae, Kanada
- Amos S. Wako, Kenya
- Eduardo Valencia-Ospina, Kolombia
- Bernd H. Niehaus, Kosta Rika
- Abdelrazeg El-Murtadi Suleiman Gouider,Libya
- Sean D. Murphy, Marekani
- Juan Manuel Gómez-Robledo, Mexico
- Hussein A. Hassouna, Misri
- Pedro Comissário Afonso, Msumbiji
- Mohammad Bello Adoke, Nigeria
- Ali Mohsen Fetais Al-Marri, Qatar
- Ernest Petric, Slovenia
- Chris M. Peter, Tanzania
- Kriangsak Kittichaisaree, Thailand
- Pavel Šturma, Ucheki
- Sir Michael Wood, Ufalme wa Maungano
- Mathias Forteau, Ufaransa
- Georg Nolte, Ujerumani
- Kirill Gevorgian, Urusi
- Marie G. Jacobsson, Uswidi
- Lucius Caflisch, Uswisi
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Shabtai Rosenne, "The International Law Commission 1940-59", British Yearbook of International Law, vol. 36 (1960)
- H.W. Briggs, The International Law Commission (Ithaca, New York, Cornell University Press, 1965)
- James Crawford, The International Law Commission's Articles on State Responsibility: Introduction, Text and Commentary (Cambridge, Cambridge University Press, 2002)
- Georg Nolte (Ed.), Peace through International Law: The Role of the International Law Commission. A Colloquium at the Occasion of its Sixtieth Anniversary (Berlin, 2009)
- Jeffrey S. Morton, The International Law Commission of the United Nations
- Stephan Wittich, "The International Law Commission's Articles on the Responsibility of States for Internationally Wrongful Acts Adopted on Second Reading" Leiden Journal of International Law 15(2002) pp. 891-919
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- International Law Commission (official site)
- Statute of the International Law Commission 1947
- Introductory note by Michael Wood, procedural history note and audiovisual material on the Statute of the International Law Commission in the Historic Archives of the United Nations Audiovisual Library of International Law
- Lecture entitled The Work of the International Law Commission on the "Most-Favoured-Nation" Clause by Donald M. McRae in the Lecture Series of the United Nations Audiovisual Library of International Law
- Lecture entitled The International Law Commission's Articles on State Responsibility: Past and Future by James Crawford in the Lecture Series of the United Nations Audiovisual Library of International Law
- United Nations Documents on the Development and Codification of International Law, 1947
- Gabriel E. Eckstein, "Commentary on the UN International Law Commission’s Draft Articles on the Law of Transboundary Aquifers" Colorado Journal of International Environmental Law & Policy Vol. 18 (2007)
- Kyoji Kawasaki, "The "Injured State" in the International Law of State Responsibility" Hitotsubashi Journal of Law and Politics, vol. 28 (2002) pp. 17-31
- Role Of the International Law Commission in the Development of International Law- Focus on State Responsibility Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- J. Benton Heath, "Disasters, Relief, and Neglect: The Duty to Accept Humanitarian Assistance and the Work of the International Law Commission" New York University Journal of International Law & Politics, vol. 43 (2011) pp. 419-477 Ilihifadhiwa 18 Februari 2024 kwenye Wayback Machine.
- Bibliographies on the topics of the ILC (UNOG Library)