Gongo la Mboto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Gongo la Mboto" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Gongo la Mboto ni kata ya Ilala katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania. Postikodi yake ni namba 12110 [1]. Wakati wa sensa ya 2012 ilikuwa na wakazi 57,312.[2]

Gongo la Mboto iko takriban kilomita 17 kutoka kitovu cha jiji kwa kufuata Barabara ya Julius K. Nyerere na kupita uwanja wa ndege. Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala kinapatikana hapa.


Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Flag of Tanzania.svg

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf[dead link]
  2. http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf