Franklin D. Roosevelt
Mandhari
(Elekezwa kutoka Franklin Delano Roosevelt)
Franklin D. Roosevelt | |
Picha ilichukuliwa na Leon A. Perski, mnamo 1944 | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1933 – Aprili 12, 1945 | |
Makamu wa Rais | John N. Garner (1933–1941) Henry A. Wallace (1941–1945) Harry S. Truman (1945) |
mtangulizi | Herbert Hoover |
aliyemfuata | Harry S. Truman |
tarehe ya kuzaliwa | Hyde Park, New York, Marekani. | Januari 30, 1882
tarehe ya kufa | 12 Aprili 1945 (umri 63) Warm Springs, Georgia, Marekani. |
mahali pa kuzikiwa | Home of Franklin D. Roosevelt National Historic Site, Hyde Park, New York |
chama | Democratic |
ndoa | Eleanor Roosevelt (m. 1905) |
watoto |
|
Franklin Delano Roosevelt (30 Januari 1882 – 12 Aprili 1945) alikuwa Rais wa 32 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1933 hadi 1945. Kaimu Rais wake alikuwa John N. Garner (1933-41), halafu Henry A. Wallace (1941-45), na hatimaye Harry S. Truman aliyemfuata kama Rais, Roosevelt alipofariki katika awamo yake ya nne.
Tazamia pia
[hariri | hariri chanzo]}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Franklin D. Roosevelt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ Abate, Frank R. (1999). The Oxford Desk Dictionary of People and Places. Oxford University Press. uk. 329. ISBN 978-0-19-513872-6.