Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Tharaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Tharaka ni Jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Eneo lote la Jimbo hilo liko katika Baraza la Kaunti ya Tharaka-Nithi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1988.

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge[1] Chama Vidokezo zaidi
1988Francis Nyamu KagwimaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Francis Nyamu KagwimaKANU
1997Murago Cicilio MwendaDP
2002Francis Nyamu KagwimaFord-Asili
2007Alex Muthengi MwiruPNU
Tunyai
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliosajiliwa
Chiakariga3,993
Gatue2,307
Gikingo4,787
Kamarandi / Kamanyaki2,608
Kanjoro3,056
Kathangachini1,388
Maragwa2,060
Marimanti2,686
Nkondi5,622
Ntugi2,521
Tunyai4,682
Turima4,480
Total40,190
*Septemba 2005 [2].