Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Lurambi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Lurambi ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo kumi na mawili katika Kaunti ya Kakamega, Magharibi mwa nchi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Uchaguzi Mbunge[1] Chama Vidokezo
1963Jonathan Welangai MasindeKADU
1969Jonathan Welangai MasindeKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Shadrack N. KovaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Shadrack N. KovaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Wasike NdombiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Jawan Ambululi OmmaniKANU
1997Newton Wanjala KulunduFord-K
2002Newton Wanjala KulunduNARC
2007Atanas KeyaODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Amalemba3,522Munisipali ya Kakamega
Bukhulunya2,223Munisipali ya Kakamega
Central10,147Munisipali ya Kakamega
Mahiakalo3,217Munisipali ya Kakamega
Maraba2,057Munisipali ya Kakamega
Matende2,502Munisipali ya Kakamega
Milimani2,044Munisipali ya Kakamega
Musaa2,126Munisipali ya Kakamega
Shibiriri2,731Munisipali ya Kakamega
Sichilayi3,820Munisipali ya Kakamega
Bukura6,369Kakamega County
Bunyala West9,509Kakamega County
Navakholo15,555Kakamega County
North Butsotso13,324Kakamega County
South Butsotso12,347Kakamega County
Jumla91,493
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]