Eneo bunge la Sabatia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Sabatia)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Sabatia ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matano katika Kaunti ya Vihiga.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge[1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Moses Mudavadi | KANU | Mfumo wa chama kimoja. Moses Mudavadi alifarika akiwa kwenye hatamu[2]. |
1989 | Musalia Mudavadi | KANU | Uchaguzi mdogo, Mfumo wa chama kimoja |
1992 | Musalia Mudavadi | KANU | |
1997 | Musalia Mudavadi | KANU | |
2002 | Moses Akaranga | NARC | |
2007 | Musalia Mudavadi | ODM |
Wadi
[hariri | hariri chanzo]Wadi | ||
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Baraza la mtaa |
---|---|---|
Busali | 10,306 | Baraza ya mji wa Vihiga |
Chavakali | 8,292 | Manispaa ya Vihiga |
Izava | 4,052 | Manispaa ya Vihiga |
Lyaduywa | 7,323 | Manispaa ya Vihiga |
North Maragoli | 8,193 | Manispaa ya Vihiga |
Sabatia West | 9,278 | Baraza ya mji wa Vihiga |
Wodanga | 9,087 | Baraza ya mji wa Vihiga |
Jumla | 56,531 | |
Septemba 2005 | [3] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Daily Nation, 3 Septemba 2002: Why Moi is Uncomfortable With Musalia's Candidature
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Sabatia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |