Eneo Bunge la Ndaragwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eneo Bunge la Ndaragwa ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge katika Wilaya ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi nne, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Fredrick Kimondo Wagura KANU Mfumo wa Chama kimoja
1992 W. Gichuki Mwangi DP
1997 Thirikwa Kamau DP
2002 Geoffrey Gachara Muchiri NARC
2007 Jeremiah Ngayu Kioni PNU

Wadi[hariri | hariri chanzo]

Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Kiriita 6,769
Leshau Pondo 10,529
Ndaragwa 12,888
Shamata 8,600
Jumla 38,786
Septemba 2005 | [2],[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Wilaya ya Nyandarua | Kigezo:Maeneo bunge katika Mkoa wa Kati (Kenya)