Arithropodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Arthropod)
Jump to navigation Jump to search
Arithropodi
Maumbile ya mdudu
Maumbile ya mdudu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda
Ngazi za chini

Arthropodi ni kundi kubwa la wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo. Mifano ni wadudu, nge, buibui au kaa. Katika uainishaji wa kisayansi wamejumlishwa katika faila ya Arthropoda.

Wote huwa na kiunzi cha nje kinachoundwa na khitini.

Wengi ni wadogo na spishi kubwa kabisa ni kaa ya Japani inayofikia uzito wa kilogramu 15-20. Lakini wana spishi nyingi sana na wanapatikana kila sehemu ya dunia. Jointi za wadudu ni kama vipashio vilivyounganishwa kuleta mtiririko wa miili yao.

SIFA ZA WADUDU

  • wana antena mbili
  • miili yao imegawanyika katika sehemu kuu tatu yaani kichwa, thorasiki na kiwiliwili
  • wana mabawa manne
  • wana rangi zinazoweza kuendana na majani kwaajili ya kujificha
  • miili yao ni midogo sana

Uainishaji[hariri | hariri chanzo]

Mwainisho wa kawaida wa arithropodi unaonyeshwa katika sanduku la uainishaji. Lakini tangu mwanzo wa karne hii miainisho mibadala imependekezwa. Pendekezo la hivi karibuni ni hili (vifundo havikupewa tabaka)[1]:

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Todd H. Oakley, Joanna M. Wolfe, Annie R. Lindgren & Alexander K. Zaharoff, 2013. Phylotranscriptomics to bring the understudied into the fold: monophyletic ostracoda, fossil placement, and pancrustacean phylogeny. Molecular Biology and Evolution 30(1): 215-233.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arithropodi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.