Apro wa Vienne
Mandhari
Apro wa Vienne (kwa Kifaransa: Aupre, Avre; karne ya 6 - Vienne, leo nchini Ufaransa, karne ya 7) alikuwa padri ambaye, kisha kufanya uchungaji na kuwa paroko [1], alihama jimbo la Grenoble kwenda kuishi upwekeni na kufanya toba katika chumba kidogo alichojijengea [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Papa Pius X alithibitisha heshima hiyo tarehe 9 Desemba 1903 [3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Desemba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gérard Mathon, BSS, vol. II (1962), col. 320.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/80390
- ↑ Index ac status causarum (1999), pp. 464 e 599.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
- Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |