Agnes Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nakshi za mawe za Agnes Mtakatifu katika kanisa la "Santa Agnese fuori le mura" huko Roma.

Agnes alikuwa bikira mwenye umri wa miaka 12 aliyekataa kuolewa kwa sababu ya imani yake ya Kikristo.

Kwa sababu hiyo aliteswa akauawa ama mwaka 250 ama mwaka 304 mjini Roma, Italia, wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo.

Habari zake hazieleweki waziwazi kama aliishi wakati wa Kaisari Decius au wakati wa Kaisari Diokletian ambao wote wawili waliamuru mateso ya Wakristo.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni 21 Januari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikisource-logo.svg
Wikisource ina maelezo kamili yahusianayo na makala hii:
Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agnes Mtakatifu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.