Uhindu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhindu (kwa Kisanskrit: हिन्दू धर्म: Hindū Dharma; pia सनातन धर्म Sanātana Dharma) ni dini kubwa yenye asili katika Bara Hindi.
Ikiwa na wafuasi milioni 900 ni dini ya tatu baada ya Ukristo na Uislamu kwa wingi wa waumini.
Nchi zenye Wahindu[hariri]
Katika nchi za India, Nepal na Morisi na kwenye kisiwa cha Bali (Indonesia) wakazi wengi hufuata aina mojawapo ya Uhindu.
Vikundi vikubwa viko pia:
- Bangladesh (11 millioni),
- Myanmar (7.1 millioni),
- Pakistan (3.3 millioni),
- Sri Lanka (2.5 millioni),
- Marekani (2.0 millioni)
- Afrika Kusini (1.2 millioni),
- Uingereza (1.2 millioni),
- Malaysia (1.1 millioni),
- Kanada (0.7 millioni),
- Fiji (0.5 millioni),
- Trinidad na Tobago (0.5 millioni),
- Guyana (0.4 millioni),
- Uholanzi (0.4 millioni),
- Singapur (0.3 millioni)
- Surinam (0.2 millioni).
Marejeo na viungo vya Nje[hariri]
- Rigveda. Britannica Concise Encyclopedia
- "Hinduism" on Microsoft Encarta Online
- Wiki based encyclopedia about Hindusim
- http://www.hinduism-today.com
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uhindu kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |