Sungusungu (sisimizi)
Mandhari
Kuhusu walinzi wa jadi angalia hapa Sungusungu
Sungusungu | ||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sungusungu aliyekamata mchwa
| ||||||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||||||
|
Sungusungu ni spishi ya sisimizi (Megaponera analis) wa nusufamilia Ponerinae katika familia Formicidae.
Katika maisha yao, sungusungu huishi kwa ushirikiano na kusaidiana kama mchwa na wadudu wengineo.
Pia sungusungu hugawana majukumu katika shughuli mbalimbali kama vile ulinzi (kwa wadudu hawa ukizungumzia suala la ulinzi ni wa kumlinda malkia wao na ujenzi wa makazi yao).
Kutokana nao, mara nyingine walinzi wa jadi katika jamii za binadamu wanaitwa "sungusungu".
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sungusungu (sisimizi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |