Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Sungusungu (sisimizi)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Spishi gani?[hariri chanzo]

Ezzy Dee salaam. Sungusungu ni spishi gani kwa kisayansi? Nimefikiri tangu muda mrefu kama ni Megaponera, lakini sina uhakika. Unajua chakula chao ni nini? ChriKo (majadiliano) 15:12, 18 Januari 2018 (UTC)[jibu]