Nenda kwa yaliyomo

Steers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Steers
Ilipoanzishwa1970

Steers ni hoteli ya huduma ya haraka kutoka Afrika Kusini. Hasa inauza burgers za nyama na kukuwa kuchoma na vinywaji laini Chip sundries na mengine.


Steers 'ilianzishwa mwaka wa 1960 wakati muasisi wa kampuni, George Halamandaris, alitembelea Marekani na kuamua kuwa angeweza kuleta dhanadhana ya chakula cha haraka nchini Afrika Kusini. Mkahawa wa kwanza wa Steersu lifunguliwa Jeppe, Johannesburg mwaka 1970. Mkahawa huo uliendelea kufungua mikahawa mingine kote nchinini afrika kusini na kuanzisha mikahawa ya kuingia na gari mwaka 1997 na utoaji wa huduma ya kuletewa chakula kokote ulipo kuanzia mwaka 2008. sasa Steers inapatikana kote Afrika ya Kusini na katika nchi nyingine saba katika Afrika na kusini mwa Ulaya.


Mwaka 1994, Kikundi cha Steers Holdings kiliorodheshwa kwenye JSE Securities Exchange na hisa zao zilikuwa zina uzwa 165c. Mwaka 2006, hisa hizo zilikuwa na thamani ya 400c. Kikundi hicho baadaye kilibadilisha jina na kuwa Famous Brands, ambayo pia inajumuisha mikahawa mingine kama vile Wimpy, Debonairs Pizza, FishAways, House of Coffee, Brazil, Market Café, whistle Stop, tashas. Kuanzia mwaka 1985, bidhaa za Steers , kama mchuzi , imekuwa iki uzwa katika maduka makubwa ya Afrika Kusini.


Slogans[hariri | hariri chanzo]

  • It's that Good (kwa wakati huu)
  • Flame grilled, it just tastes better
  • It's that Good (Present)


Bidhaa[hariri | hariri chanzo]

Mikahawa ya steers huwa ina wahudumia matajiri wa Afrika Kusini na huwauzia chakula cha bei ghali kinacho hitaji muda mwingi wa kutayarishwa.
Steers inauza burgers za nyama, mboga na kuku , sandwich, viazi vya kukaranga (vinanvyojulikana kama chips huko SA), vinywaji baridi, na Desserts. Huwa wanaweka mkazo mkubwa sana kwa vyakula vinavyo andamana kama:


Breakfast on the run (huwa ndani ya Pita: Bacon, yai, jibini, nyanya AU jibini, nyanya, yai na caramelized kitunguu)
Good Guy (grilled Burger na chips)
Hunga Busta
King-size deal (huandaliwa na bun na chips: Two flame-grilled beef patties, slices mbili za jibini, nyanya na mchuzi maalum wa Steers )
Wacky Wednesday


Miongoni mwa walaji wa Afrika Kusini, Steers inajulikana kwa ajili ya "Wacky Wednesday" maalumu; "una pewa burger mbili kwa bei ya mmoja" umaalumuwake ni kuwa ina uzwa tu Jumatano. Msingi asili ya "Wacky Wednesday" hubadilika kila mwezi.


Nchi (na wilaya) ambazo zina mikahawa ya Steers[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Strathmore.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)