Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya wafalme wa mwisho barani Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya wafalme wa mwisho wa Afrika.

Nchi / Himaya Mfalme Wadhifa Kuzaliwa Kutawala kuanzia Mwisho wa kutawala Sababu Kifo Nembo
Burundi Ntare V Mfalme Burundi 2 Desemba 1947 8 Julai 1966 28 Novemba 1966 Kuondolewa 29 Aprili 1972
Afrika ya kati Bokassa I Mfalme wa Afrika ya kati 22 Februari 1921 4 Desemba 1976 20 Septemba 1979 Kuondolewa 3 Novemba 1996
Misri Faili:Fuad II in Capri.JPG Fuad II Mfalme wa Misri na Sudan 16 Januari 1952 26 Julai 1952 18 Juni 1953 Kuondolewa Hai
Ethiopia Haile Selassie I Mfalme wa Ethiopia 23 Julai 1892 2 Novemba 1930 12 Septemba 1974 Kuondolewa 27 Agosti 1975
Gambia Elizabeth II Malkia wa Gambia 21 Aprili 1926 18 Februari 1965 24 Aprili 1970 Katiba ya Jamhuri imepitishwa Hai
Ghana Malkia wa Ghana 6 Machi 1957 1 Julai 1960 Katiba ya Jamhuri imepitishwa
Kenya Malkia wa Kenya 12 Desemba 1963 12 Desemba 1964 Katiba ya Jamhuri imepitishwa
Libya Idris I Mfalme wa Libya 12 Machi 1889 24 Desemba 1951 1 Septemba 1969 Kuondolewa 25 Mei 1983
Madagascar Ranavalona III Malkia wa Madagascar 22 Novemba 1861 30 Julai 1883 28 Februari 1897 Kuondolewa 23 Mei 1917
Malawi Elizabeth II Malkia wa Malawi 21 Aprili 1926 6 Julai 1964 6 Julai 1966 Katiba ya Jamhuri imepitishwa Hai
Morisi Malkia wa Morisi 12 Machi 1968 12 Machi 1992 Katiba ya Jamhuri imepitishwa
Nigeria Malkia wa Nigeria 1 Januari 1960 1 1963 Katiba ya Jamhuri imepitishwa
Bendera ya Rhodesia Rhodesia Malkia wa Rhodesia 11 Novemba 1965 2 Machi 1970 Katiba ya Jamhuri imepitishwa
Rwanda Kigeli V Ndahindurwa Mwami wa Rwanda 29 Juni 1936 25 Julai 1959 28 Januari 1961 Katiba ya Jamhuri imepitishwa 16 Oktoba 2016
Sierra Leone Elizabeth II Malkia wa Sierra Leone 21 Aprili 1926 27 Aprili 1961 19 Aprili 1971 Katiba ya Jamhuri imepitishwa Hai
Afrika Kusini Malkia wa Afrika Kusini 6 Februari 1952 31 Mei 1961 Katiba ya Jamhuri imepitishwa
Bendera ya Tanganyika (nchi) Tanganyika Malkia wa Tanganyika 9 Desemba 1961 9 Desemba 1962 Katiba ya Jamhuri imepitishwa
Tunisia Muhammad VIII al-Amin Mfalme Tunisia 4 Septemba 1881 15 Mei 1943 25 Julai 1957 Kuondolewa 30 Septemba 1962
Uganda Elizabeth II Malkia wa Uganda 21 Aprili 1926 9 Oktoba 1962Kigezo:Efn 9 Oktoba 1963 Marekebisho ya Katiba Hai
Zanzibar Jamshid bin Abdullah Sultan wa Zanzibar 16 Septemba 1929 1 Julai 1963 12 Januari 1964 Kuondolewa Hai