Orodha ya viwanja vya michezo vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mandhari
Orodha hii inaonyesha viwanja vya michezo katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo pamoja na uwezo wake wa kuchukua idadi ya watu au mashabiki, viwanja vingine vinatumika kwa kazi nyingine mbali na michezo.[1]
Orodha ya Viwanja
[hariri | hariri chanzo]# | Uwanja | Unakopatikana | Uwezo | Timu ya Nyumbani | |
---|---|---|---|---|---|
1 | Uwanja wa michezo wa Martyrs | Kinshasa | 80,000 | Timu ya taifa | |
2 | Uwanja wa michezo wa Tata Raphaël | Kinshasa | 50,000 | DC Motema Pembe, AS Vita Club | |
3 | Uwanja wa michezo wa Frederic Kibassa Maliba | Lubumbashi | 35,000 | FC Saint Eloi Lupopo | |
4 | Uwanja wa michezo wa Lumumba | Kisangani | 30,000 | AS Nika, TS Malekesa, AS Makiso | |
5 | Uwanja wa michezo wa Kashala Bonzola | Mbuji-Mayi | 25,000 | SM Sanga Balende | |
6 | Uwanja wa michezo wa Kadinali Malula | Kinshasa | 24,000 | AS Dragons | |
7 | Uwanja wa michezo wa TP Mazembe | Lubumbashi | 18,500 | TP Mazembe, CS Don Bosco | |
8 | Uwanja wa michezo wa Concorde | Bukavu | 10,000 | OC Muungano | |
= | Uwanja wa michezo wa Jeunes | Kananga | 10,000 | US Tshinkunku, AS Saint-Luc |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Stadiums in the Democratic Republic of the Congo". World Stadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-02-06. Iliwekwa mnamo 2021-06-12.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Orodha ya viwanja vya michezo vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |