Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Concorde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Concorde ni uwanja wa michezo uliopo Bukavu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Unauwezo wakuchukua watazamaji (10,000). Unatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya OC Muungano.

http://www.worldstadiums.com/africa/countries/dr_congo.shtml Ilihifadhiwa 6 Februari 2013 kwenye Wayback Machine.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Concorde kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.