Uwanja wa michezo wa Frederic Kibassa Maliba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Maliba

Stade Frédéric-Kibassa-Maliba, pia unajulikana kama Stade de la Kenya, ni uwanja unaotumika kwa wingi katika kitongoji cha Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu ,Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya FC Saint Eloi Lupopo na uwanja wa zamani wa TP Mazembe, Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 35,000 na umepewa jina Frederic Kibassa Maliba, Waziri wa zamani wa Vijana na Michezo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Frederic Kibassa Maliba kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.