Uwanja wa michezo wa TP Mazembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stade TP Mazembe ni uwanja wenye matumizi mengi uliopo Kamalondo Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Tangu kukamilika kwake mnamo mwaka 2011, umekuwa ukitumika zaidi kwa mpira wa miguu pia ni uwanja wa nyumbani wa TP Mazembe na CS Don Bosco, Uwanja huo una viti 18,000 [1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Aprili mwaka 2010 ujenzi wa uwanja mpya wa klabu cha TP Mazembe Lubumbashi ulianza, boma ambalo litakidhi viwango vinavyohitajika na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuandaa mashindano ya kimataifa, vituo vipya vina chumba cha waandishi wa habari cha VIP na maegesho ya magari

Hadi mwaka 2011 TP Mazembe ilitumia Stade Frederic Kibassa Maliba.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa TP Mazembe kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.