Notburga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Notburga.

Notburga (Rattenberg, Austria, 1265 - Buch, Austria, 14 Septemba 1313) alikuwa bikira Mkristo wa ukoo fukara, ambaye aliishi kama mpishi katika nyumba ya kabaila[1] akimtumikia Kristo katika maskini [2] na kuwaachia wakulima kielelezo cha utakatifu [3][4].

Papa Pius IX tarehe 27 Machi 1862 alithibitisha heshima aliyopewa tangu kale kama mtakatifu. [5]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Septemba [6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "St. Notburga", FaithND
  2. Ott, Michael. "St. Notburga." The Catholic Encyclopedia Vol. 11. New York: Robert Appleton Company, 1911. 3 September 2021
  3. Alban Butler, Butler's lives of the Saints, Continuum International Publishing Group, 2003, pag.122
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91639
  5. "Notburga von Rattenberg". www.fembio.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-10-30.
  6. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.