Nashville, Tennessee
Jiji la Nashville | |
Mahali pa mji wa Nashville katika Marekani |
|
Majiranukta: 36°10′00″N 86°47′00″W / 36.16667°N 86.78333°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Tennessee |
Wilaya | Davidson |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 619,626 |
Tovuti: www.nashville.gov |
Nashville ni mji wa Marekani katika jimbo la Tennessee. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 182 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tennessee State University
- (Kiingereza) Chuo Kikuu cha Vanderbilt
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nashville, Tennessee kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |