Nenda kwa yaliyomo

Namasi wa Clermont

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Namasi katika dirisha la kioo cha rangi.

Namasi wa Clermont (pia: Namace, Namatius; alifariki nchini Ufaransa, 462) alikuwa askofu wa Clermont-Ferrand kuanzia mwaka 446, baada ya kutengana na mke wake [1].

Alijenga kanisa kuu la jimbo[2], ambalo Gregori wa Tours alilieleza kinaganaga[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Oktoba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.