Muziki wa Klasiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Muziki wa Klasiki, ipo katika aina za orchestra, kikawaida hulenga vyombo vya nyuzi, yaani Violin, viola, cello, na besi-mbili ambavyo ni ni vyombo vya nyuzi; kwa pamoja, vinategemeana kufanya orchestra (muziki unaopigwa na jopu la watu au kwa jina lingine waweza kuita bendi).

Wana wa orchestra wana mwelekezaji wao ambaye ana weka sawa tempo (kasi), na ana waelekeza wana wa orchestra kwa kutumia fimbo maalum wakati wanapiga moja kati ya nyimbo ambazo huzipiga kwa maonyesho maalum. Kuna watunzi kedekede wa muziki wa klasiki. Lakini hapa kuna orodha chache ya watunzi hao wa mwenendo wa nyakati:

Zama za Kati[hariri | hariri chanzo]

Mtindo wa Zama za Kati uliednea sana kunako karne ya 5 hadi kwenye karne ya 15 na waliotingisha walikuwa kina:

Zama za Mwamko[hariri | hariri chanzo]

Mtindo wa Renaissance ulibamba sana kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17 na na waliotingishaa walikuwa kina:

Kipindi cha Baroque[hariri | hariri chanzo]

The Baroque period was from about the 17th century until the mid-18th century:

Kipindi cha Klasiki[hariri | hariri chanzo]

Mnamo katikati ya karne ya 18 hadi kunako miaka ya 1820 ilikuwa kikijulikana kama Kipindi cha Classical:

Kipindi cha Romantiki[hariri | hariri chanzo]

Kipindi hiki kilianza kunako 1820 hadi 1910 kilijukana kama Kipindi cha Romantiki:

Karne ya 20[hariri | hariri chanzo]

Kile kinachojulikana kama Muziki wa klasiki wa karne ya 20 umekuja kuanzia 1910 nakuendelea:

Kwenye karne ya 20, muziki wa klasiki umebadilika sana. Kuanzia mwaka 1950, vifaa vya umeme vilianza kutumia kwa kutengeneza sauti mpya, na vifaa vya muziki vya umeme vikaanza kutumiwa katika kufanyia muziki huu vilevile.

Tangu mwaka 1970, watunzi wengi wa muziki huu wakaanza kutofautisha baina ya muziki wa rock, pop, classical, asili, jazz na muziki wa dunia, kwa kutoa aina mpya za mitindo ili kuendeleza fani nzima ya muziki.