Eneo bunge la Kitui Mashariki
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mutito)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kitui Mashariki (awali: Jimbo la Uchaguzi la Mutito) ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ambalo ni miongoni mwa majimbo manne katika Wilaya ya Kitui, lina wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Kitui County.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo la Mutito lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Ezekiel Mwikya Mweu.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Ezekiel Mwikya Mweu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Ndambuki M. Mutinda | KANU | |
1997 | Jimmy Muthusi Kitonga | SDP | |
2002 | Kiema Kilonzo | Ford-People | |
2007 | Kiema Kilonzo | ODM-Kenya |
Wodi
[hariri | hariri chanzo]Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Kyanika / Maluma | 6,521 |
Malalani / Endau | 4,509 |
Mutitu / Kaliku | 6,813 |
Mwitika / Kyamatu | 5,839 |
Sombe | 3,789 |
Thua / Nzangathi / Ithumula | 6,602 |
Voo | 3,721 |
Jumla | 37,794 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kitui Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |