Mpera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mpera
(Psidium guajava)
Mpera
Mpera
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Myrtales (Mimea kama mkarafuu)
Familia: Myrtaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mkarafuu)
Jenasi: Psidium
Spishi: P. guajava L., 1753

Mpera (Psidium guajava) ni mti mdogo wa familia Myrtaceae. Matunda yake huitwa mapera. Asili yake ni Amerika ya Kati na ya Kusini, lakini sikuhizi unapandwa mahali pengi pa kanda za tropiki na nusutropiki.

Picha[hariri | hariri chanzo]