Mng'aro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mng'aro ni kata ya Wilaya ya Lushoto katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 9,389 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,148 waishio humo.

Kata hii ina shule za msingi tatu na shule moja ya sekondari.

Ndani ya kata hii kuna skimu kubwa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji pamoja na gereza la kilimo.

Mwaka 2015 kata hii ilifanikiwa kumpata diwani kupitia CHADEMA na hivyo kuweka historia ya kuwa kata pekee iliokwenda kwa upinzani ndani ya wilaya ya Lushoto.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Lushoto - Mkoa wa Tanga - Tanzania

Dule "M" | Gare | Hemtoye | Kilole | Kwai | Kwekanga | Kwemashai | Kwemshasha | Lukozi | Lunguza | Lushoto | Magamba | Makanya | Malibwi | Malindi | Manolo | Mbaramo | Mbaru | Mbwei | Migambo | Mlalo | Mlola | Mnazi | Mng'aro | Mtae | Mwangoi | Ngulwi | Ngwelo | Rangwi | Shagayu | Shume | Sunga | Ubiri


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mng'aro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.