Lushoto (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Lushoto,Tanzania
Kikundi cha mazoezi ya kukimbia, Lushoto,Tanzania


Lushoto
Lushoto is located in Tanzania
Lushoto
Lushoto

Mahali pa mji wa Lushoto katika Tanzania

Majiranukta: 4°46′48″S 38°16′48″E / 4.78000°S 38.28000°E / -4.78000; 38.28000
Nchi Tanzania
Mkoa Tanga
Wilaya Lushoto

Lushoto ni mji mdogo uliopo kwa kimo cha mita 1930 juu ya UB kwenye milima ya Usambara ni makao makuu ya wilaya ya Lushoto.

Kiutawala ni kata moja tu na kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 28,190 [1] waishio humo.

Kuna barabara ya lami kati ya Lushoto na Mombo inapounganika na barabara kuu B1 Arusha - Dar es Salaam.

Mazingira ya Lushoto inafaa kwa kilimo kuna vivutio vya utalii pia.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mji ulianzishwa kwa jina la Wilhelmstal ("bonde la Wilhelm") na Wajerumani wakati wa koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Jina lilichaguliwa kwa heshima ya kaisari Wilhelm II aliyekuwa mtawala wa Ujerumani hadi 1918.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lushoto (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Lushoto - Mkoa wa Tanga - Tanzania

Baga | Bumbuli | Dule "B" | Dule "M" | Funta | Gare | Hamtoye | Kilole (Lushoto) | Kwai | Kwekanga | Kwemashai | Kwemshasha | Lukozi | Lunguza | Lushoto | Maheza Ngulu | Makanya | Malibwi | Malindi | Mamba | Manolo | Mayo | Mbaramo | Mbuzii | Mgwashi | Milingano | Mlalo | Mlola | Mnazi | Mng'aro | Mponde | Mtae | Mwangoi | Ngulwi | Ngwelo | Nkongoi | Rangwi | Shume | Soni | Sunga | Tamota | Ubiri | Usambara | Vuga

Wilaya ya Lushoto