Nenda kwa yaliyomo

Mbweni, Kinondoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Mbweni, Zanzibar

Mbweni, Kinondoni ni kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 14126.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 25,970 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 3,475 waishio humo.[2]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.

  1. https://www.nbs.go.tz/
  2. "2002 Population and Housing Census General Report" (kwa Kiingereza). Government of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Kata za Wilaya ya Kinondoni - Tanzania

BunjuHananasifKaweKigogoKijitonyamaKinondoniKunduchiMabwepandeMagomeniMakongoMakumbushoMbezi JuuMbweniMikocheniMsasaniMwananyamalaMzimuniNdugumbiTandaleWazo