Nenda kwa yaliyomo

Msasani (Kinondoni)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Msasani (Rungwe)


Picha ya angani ya Msasani

Msasani ni kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 14111.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 40,406 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 43,457 waishio humo.[2]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.

  1. https://www.nbs.go.tz/
  2. "2002 Population and Housing Census General Report" (kwa Kiingereza). Government of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Kata za Wilaya ya Kinondoni - Tanzania

BunjuHananasifKaweKigogoKijitonyamaKinondoniKunduchiMabwepandeMagomeniMakongoMakumbushoMbezi JuuMbweniMikocheniMsasaniMwananyamalaMzimuniNdugumbiTandaleWazo