Kunduchi
Mandhari
Kata ya Kunduchi | |
Mahali pa Kunduchi katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°47′42″S 39°15′58″E / 6.79500°S 39.26611°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Dar es Salaam |
Wilaya | Kinondoni |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 89,814 |
Kunduchi ni kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 14122.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 89,814 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 72,927 waishio humo.[2]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz/
- ↑ "2002 Population and Housing Census General Report" (kwa Kiingereza). Government of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Kinondoni - Tanzania | ||
---|---|---|
Bunju • Hananasif • Kawe • Kigogo • Kijitonyama • Kinondoni • Kunduchi • Mabwepande • Magomeni • Makongo • Makumbusho • Mbezi Juu • Mbweni • Mikocheni • Msasani • Mwananyamala • Mzimuni • Ndugumbi • Tandale • Wazo |
Makala hii kuhusu maeneo ya Dar es Salaam bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kunduchi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |