Mbulu mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kanisa katoliki la Mbulu (picha ya Tamino Boehm)
Mbulu mjini
Mbulu mjini is located in Tanzania
Mbulu mjini
Mbulu mjini
Mahali pa Mbulu mjini katika Tanzania
Majiranukta: 3°51′22″S 35°32′37″E / 3.85611°S 35.54361°E / -3.85611; 35.54361
Nchi Tanzania
Mkoa Manyara
Wilaya Mbulu
Idadi ya wakazi
 - 12,171

Mbulu ni jina la makao makuu ya Wilaya ya Mbulu katika Mkoa wa Manyara, Tanzania. Hadi mwaka 2012 mji wote ulihesabiwa kama kata moja yenye wakazi [1]

Takriban asilimia 70-80 za wakazi ni Wairaqw.[2]

Kuna makao makuu ya daiosisi ya Mbulu ya kanisa katoliki.

Wakati wa koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani mazingira haya yalijulikana kwa jina "Umbulu" ukawa na ofisi ndogo ya mkoa wa Arusha wa Wajerumani. Wakati ule Mapadre Weupe walijenga hapa kituo kilichoitwa kwa jina "Neu-Trier" yaani Trier Mpya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mwaka 2002 kata ya Mbulu mjini likuwa na wakazi 12,171 waishio humo.Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-17.
  2. J. Baker, H Wallevik: Changing Lifeworlds and contested space; seclusion practises among the Iraqw of Northern Tanzania, hapo hasa kurasa 12-15 kuhusu Mbulu Mjini

Vigo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mbulu - Mkoa wa Manyara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Ayamaami | Ayamohe | Bargish | Bashay | Daudi | Dinamu | Dongobesh | Endagikot | Endamilay | Eshkesh | Gehandu | Geterer | Gidihim | Gunyoda | Hayderer | Haydom | Imboru | Kainam | Maghang | Marang | Maretadu | Masieda | Masqaroda | Murray (Mbulu) | Nahasey | Nambisi | Sanu Baray | Tlawi | Tumati | Uhuru | Yaeda Ampa | Yaeda Chini


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbulu mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.