Dongobesh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dongobesh ni kata ya Wilaya ya Mbulu katika Mkoa wa Manyara, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,770 waishio humo.[1] Wengi katika eneo hili ni Wairaqw, NA shughuli kubwa zinazofanyika ni za kilimo na biashara mbalimbali.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Mbulu - Mkoa wa Manyara - Tanzania

Ayamaami | Ayamohe | Bargish | Bashay | Daudi | Dinamu | Dongobesh | Endagikot | Endamilay | Eshkesh | Gehandu | Geterer | Gidihim | Gunyoda | Hayderer | Haydom | Imboru | Kainam | Maghang | Marang | Maretadu | Masieda | Masqaroda | Murray (Mbulu) | Nahasey | Nambisi | Sanu Baray | Tlawi | Tumati | Uhuru | Yaeda Ampa | Yaeda Chini


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dongobesh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.