Nenda kwa yaliyomo

Yaeda Chini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yaeda Chini ni kata ya Wilaya ya Mbulu Vijijini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania.

Yaeda Chini ni kata pekee ya Mbulu vijijini yenye msitu mkubwa ambao unatumiwa na wanyama mbalimbali kama njia (corridor) inayounganisha hifadhi ya Ngorongoro na Hifadhi ya Ziwa Manyara pamoja na ziwa Eyasi.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 9,088 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,420 waishio humo.[2]

Kata za Wilaya ya Mbulu Vijijini - Mkoa wa Manyara - Tanzania

Bashay | Dinamu | Dongobesh | Endahagichan | Endamilay | Eshkesh | Geterer | Gidhim | Haydarer | Haydom | Labay | Maghang | Maretadu | Masieda | Masqaroda | Tumati | Yaeda Ampa | Yaeda Chini


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yaeda Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.