Jimbo Katoliki la Mbulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

John Chrisostom Ndimbo Jimbo katoliki la Mbulu (kwa Kilatini "Dioecesis Mbuluensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Arusha.

Aliyekuwa Askofu wake, Beatus Kinyaiya, amehamishiwa Dodoma.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Eneo ni la kilometa mraba 16,057, ambapo kati ya wakazi 995,000 (2006) Wakatoliki ni 269,620 (27.1%).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]