Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Steven883

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Czeus25 Masele (majadiliano) 04:32, 21 Septemba 2020 (UTC)[jibu]

Ndugu, unapotaka kubadilisha msamiati wa Wikipedia yetu ni afadhali kwanza tujadiliane. Asante na amani kwako. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:17, 27 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Ndugu nimerejesha mabadiliko yako katika makala tovuti. Hujaangalia makala ilihusu mada gani. Heri uulize kwanza kama huna uhakika, utumie kurasa za majadiliano. Kipala (majadiliano) 17:46, 27 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Ukiona kuna haja kubadilisha msamiati, usiendelee kama sasa. Anza kwene kurasa za majadiliano. Naona umeleta msamiati usio kawaida, mfano Kitenzambali. Tuna changamoto kwamba katika habari za teknolojia (na hasa kompyuta) kuna mengi yaliyobadilikabadilika. Kwa sasa ni vema kufuata kamusi sanifu kama maneno yapo pamoja na utafiti wa matumizi kwenye intaneti. Nimeona kwenye mabadiliko uliyoleta kwa "tovuti" kuwa bado huna uzoefu. Kwa hiyo acha mbio ingia kwanza kwenye majadiliano. Kipala (majadiliano) 19:11, 27 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Kadi karadha (Credit Card)

[hariri chanzo]

Kadi karadha (au Kadi ya mkopo (kwa Kiingereza: credit card) ni kadi ya kulipia inayotolewa kwa watumiaji (wamiliki wa kadi) ili kuwawezesha kuwalipa wafanyabiashara kwa bidhaa na huduma wanazozipata. Steven883 (majadiliano) 00:17, 28 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

Matandao, Tovuti na Wavuti

[hariri chanzo]

Tovuti ni neno lililokusudiwa na baraza la Kiswahili BAKITA kama neno mbadala la internet.

Kwa upande mwingine, neno wavuti ilikusudiwa kumaanisha website. Hio inatokana na neno wavu ambayo inaweza kutafsiriwa kama web au net.

Kwa kumalizia, mtandao ni network.

  • Programu tumizi (Protu) = app
  • kivinjari = browser
  1. boreshakiswahili Steven883 (majadiliano) 01:39, 28 Desemba 2021 (UTC)[jibu]
Asante kwa kuingia katika majadiliano. Chanzo chako kuhusu Bakita ni nini? Umekuta fafanuzi hizi wapi? Hapa tumefuata mara nyingi fafanuzi za TUKI. Pale ambako zinatofautiana ni vema kuonyesha zote kandokando au kutumia tanbihi, pamoja na mbinu wa kielekezo. Kipala (majadiliano) 05:35, 28 Desemba 2021 (UTC)[jibu]

https://news.un.org/feed/download/187532/sw/sites/news.un.org.sw/files/audio/2017/01/Neno_la_Wiki_01_2017.mp3

Karibu kusikiliza ujumbe huo wa sauti.

Cc: Habari za UN | Neno La Wiki

Katika neno la wiki Januari 6 tunachambua maneno Tovuti na Wavuti, mchambuzi wetu leo ni, Nuhu Zuberi Bakari ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.
Steven883 (majadiliano) 11:10, 28 Desemba 2021 (UTC)[jibu]