Majadiliano ya mtumiaji:Ramadhani Mushi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Anuary Rajabu (majadiliano) 09:59, 21 Mei 2023 (UTC)[jibu]

Ndugu, katika kupunguza maneno ya makala, usiondoe kirahisi jamii hai, hasa zilizo sahihi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:18, 29 Mei 2023 (UTC)[jibu]
sawa boss nmekuelewa Ramadhani Mushi (majadiliano) 12:41, 1 Novemba 2023 (UTC)[jibu]

Tafsiri Kompyuta[hariri chanzo]

Ndugu nmejaribu kupitia makala zako, epuka kutumia tafsiri kompyuta katika uandishi ,jitahidi kumuelewesha msomaji na sio kuandika tu ili uhariri. Amani sana Husseyn Issa (majadiliano) 11:09, 1 Novemba 2023 (UTC)[jibu]

sawa broh ntatizama ilo tena Ramadhani Mushi (majadiliano) 12:41, 1 Novemba 2023 (UTC)[jibu]
Amani sana Husseyn Issa (majadiliano) 09:36, 2 Novemba 2023 (UTC)[jibu]

Michezo[hariri chanzo]

Ndugu, sasa umekazania michezo, nadhani u shabiki wa Simba. Ukiweka kigezo cha mbegu na jamii, angalia kama neno michezo inafaa kweli, kwa sababu ukimzungumzia mchezaji wa mpira, ni mtu, si mchezo. Hata ukisoma lebo inayotokea, utaona kwamba haifai. Weka {{mbegu-cheza-mpira}} na jamii:wachezaji mpira wa Tanzania (au wa nchi nyingine). Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:45, 23 Machi 2024 (UTC)[jibu]

shukran mkuu ntalifanyia kazi ili kuanzia sasa Ramadhani Mushi (majadiliano) 13:23, 25 Machi 2024 (UTC)[jibu]
Ndugu kuwa makini na maelekezo unayopata. usiende haraka punguza mwendo amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 13:57, 25 Machi 2024 (UTC)[jibu]
Sawa, pia angalia usianzishe makala kwa jina la Kiingereza, maana pengine zipo tayari kwa jina la Kiswahili kama mildfielder na forward. Tena, usitumie kama rejesho yale ya Wikipedia ya Kiingereza. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:55, 25 Machi 2024 (UTC)[jibu]
Nmeiona Boss, kwavile mimi bdo mchanga maoni yenu n muhimu ili niwe imara zaidi kwenye kuchangia Wikipedia in Swahili Ramadhani Mushi (majadiliano) 14:05, 25 Machi 2024 (UTC)[jibu]

Zingatia Maelekezo na mashauri[hariri chanzo]

Ndugu habari, naona umekua ukipewa maelekeo ya kufuata unapuuza na kuto kufanyia kazi. Vile vile umeambiwa marekebisho kadha hujarejea kufanya hiv. Nakupa onyo laasivyo utafungiwa. Pole na shida zangu Olimasy (majadiliano) 20:24, 12 Aprili 2024 (UTC)[jibu]

ningeomba msaada zaidi kwa ili maana nakumbuka makala za wachezaji zile na mbegu zake nlitafta upya na kuzipitia teena sasa sjajua ttizolangu lipo wapi apa maana mimi kweli sio kwamba nimkubwa ivyo kwenye uchangiaji sasa bila support yenu na kunielekeza nimekosea wapi stofika popote, ningeomba tuu unelekeze wapi nmekosea ili nsirudie makosa tena, atakama nkikosea bs mnielekeze ili baadae nije kua mzuri zaidi kwenye ku edit makala na kwa ufanisi zaidi Ramadhani Mushi (majadiliano) 16:00, 13 Aprili 2024 (UTC)[jibu]

Viungo vya ndani[hariri chanzo]

Ndugu @Ramadhani Mushi Hakikisha ukiweka kiungo cha ndani kwa mfano 2024, kama kuna mwaka kama huo kwenye iyo makala usiweke tena 2024. kuwa makini na unachokiandika. Amani kwako Justine Msechu (majadiliano) 21:35, 14 Aprili 2024 (UTC)[jibu]

Ahsante mkuu kwa ushauri wako nimelihifadhi hilo na nitaendelea pia kulifanyia kazi lisijitokeze tena Ramadhani Mushi (majadiliano) 04:30, 15 Aprili 2024 (UTC)[jibu]