Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 35: Mstari 35:
#[http://en.wikipedia.org/wiki/general_relativity general relativity] * sw: [[general relativity]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/general_relativity general relativity] * sw: [[general relativity]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/headache headache] * sw: [[maumivu ya kichwa]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/headache headache] * sw: [[maumivu ya kichwa]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/heart_attack heart attack] * sw: [[mshtuko wa moyo]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/heart_attack heart attack] * sw: [[shtuko la moyo]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/immune_system immune system] * sw: [[mfumo wa kingamaradhi]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/immune_system immune system] * sw: [[mfumo wa kingamaradhi]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/inductor inductor] * sw: [[inductor]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/inductor inductor] * sw: [[inductor]]
Mstari 51: Mstari 51:
#[http://en.wikipedia.org/wiki/operating_system operating system] * sw: [[operating system]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/operating_system operating system] * sw: [[operating system]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/pandemic pandemic] * sw: [[pandemic]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/pandemic pandemic] * sw: [[pandemic]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/pharmaceutical_drug pharmaceutical drug] * sw: [[dawa za famasia]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/physical_chemistry physical chemistry] * sw: [[kemia ya fizikia]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/physical_chemistry physical chemistry] * sw: [[kemia ya fizikia]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/programming_language programming language] * sw: [[programming language]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/programming_language programming language] * sw: [[programming language]]

Pitio la 13:52, 19 Februari 2016

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni makla ya jina unaweza kuanza mara moja. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "Brussels" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.

Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.

Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanishwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded

Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi

(hali ya Februari 2016) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)

OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

  1. acceleration * sw: mchapuko
  2. addiction * sw: addiction
  3. algorithm * sw: algorithm
  4. animation * sw: animation
  5. Capacitor * sw: kapasita
  6. circulatory system * sw: mfumo wa mzunguko wa damu
  7. classical mechanics * sw: classical mechanics
  8. complex number * sw: namba changamano
  9. conservation of energy * sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
  10. dialectic * sw: upembuzi
  11. differential equation * sw: mlinganyo tenguo
  12. electronic music * sw: muziki wa elektroniki
  13. endocrine system * sw: mfumo wa tezi
  14. function * sw: function
  15. general relativity * sw: general relativity
  16. headache * sw: maumivu ya kichwa
  17. heart attack * sw: shtuko la moyo
  18. immune system * sw: mfumo wa kingamaradhi
  19. inductor * sw: inductor
  20. infinity * sw: infinity
  21. information * sw: taarifa
  22. linear algebra * sw: linear algebra
  23. logarithm * sw: logi
  24. martial arts * sw: martial arts
  25. mathematical analysis * sw: mathematical analysis
  26. mathematical proof * sw: mathematical proof
  27. Mind * sw: mind
  28. nuclear fission * sw: nuclear fission
  29. number theory * sw: number theory
  30. numerical analysis * sw: numerical analysis
  31. operating system * sw: operating system
  32. pandemic * sw: pandemic
  33. physical chemistry * sw: kemia ya fizikia
  34. programming language * sw: programming language
  35. quantum mechanics * sw: quantum mechanics
  36. resistor * sw: resistor
  37. semiconductor * sw: semiconductor
  38. set theory * sw: set theory
  39. software * sw: software
  40. special relativity * sw: special relativity
  41. strong interaction * sw: strong interaction
  42. thermodynamics * sw: mwendojoto
  43. transformer * sw: transfoma
  44. transistor * sw: transista
  45. weak interaction * sw: weak interaction