Mwendojoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwendojoto (kwa Kiingereza: en:Thermodynamics) ni tawi la fizikia linalohusika na moto na halijoto katika uhusiano na nishati na kazi.

Tabia zake zinafuata kanuni nne za mwendojoto, bila kujali mata husika.

Mwendojoto hutumika katika mada nyingi za sayansi.

Ugunduzi wa sheria mpya za joto (mwendojoto) ulitokana na juhudi kubwa za uchunguzi katika kipindi cha mapinduzi ya viwanda kutokana na kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa mahitaji ya nishati, hasa kwa mchango wa mwanafizikia Mfaransa Nicolas Léonard Sadi Carnot (1824).[1] Scottish physicist Lord Kelvin was the first to formulate a concise definition of thermodynamics in 1854[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Clausius, Rudolf (1850). On the Motive Power of Heat, and on the Laws which can be deduced from it for the 'Theory of Heat'. Poggendorff's Annalen der Physik, LXXIX (Dover Reprint). ISBN 978-0-486-59065-3. 
  2. William Thomson, LL.D. D.C.L., F.R.S. (1882). Mathematical and Physical Papers 1. London, Cambridge: C.J. Clay, M.A. & Son, Cambridge University Press. p. 232. 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Goldstein, Martin & Inge F. (1993). The Refrigerator and the Universe. Harvard University Press. ISBN 978-0-674-75325-9. OCLC 32826343.  A nontechnical introduction, good on historical and interpretive matters.
  • Kazakov, Andrei; Muzny, Chris D.; Chirico, Robert D.; Diky, Vladimir V.; Frenkel, Michael (2008). "Web Thermo Tables - an On-Line Version of the TRC Thermodynamic Tables". Journal of Research of the National Institute of Standards and Technology 113 (4): 209–220. ISSN 1044-677X. doi:10.6028/jres.113.016. 

Ya kitaalamu zaidi:

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwendojoto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.