Haki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Maadili bawaba}}
{{Maadili bawaba}}
[[Picha:Iustitia Papstgrab Bamberg aus Gottfried Henschen u Daniel Papebroch 1747.jpg|thumb|left|200px|Haki]]

[[File:Luca Giordano 013.jpg|thumb|Haki ilivyoonyeshwa na [[Luca Giordano]].]]
[[File:JMR-Memphis1.jpg|thumb|200px|right|[[Bibi Haki]], kielelezo cha adili hili, amechorwa kama [[mungu]] wa kike akiwa na vifaa vitatu: [[upanga]], [[mizani]] na kitambaa cha macho.<ref>Luban, ''Law's Blindfold'', 23.</ref>]]
[[Picha:Iustitia Papstgrab Bamberg aus Gottfried Henschen u Daniel Papebroch 1747.jpg|thumb|left|140px|Haki]]
[[Picha:Iustitia Papstgrab Bamberg aus Gottfried Henschen u Daniel Papebroch 1747.jpg|thumb|left|140px|Haki]]
Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano.
'''Haki''' ndiyo [[utaratibu]] unaotakiwa katika mafungamano.

Kwa [[Kigiriki]] inaitwa ''dikaiosyne'', kutokana na [[neno]] asili ''dike'' yaani ''anayeelekeza'' na kwa hiyo pia ''mwongozo, utaratibu''. Tofauti na ''[[nomos]]'', yaani [[sheria]] inayoongoza [[wanyama]] pia, ''dike'' inahitajiwa na [[binadamu]] ili kuishi kwa utaratibu. Ni kinyume cha ''bie'', [[ukatili]], nguvu inayoangamiza. ''Dikaios'' (mwenye kujali haki), ni mtu anayemtendea kila mmoja haki yake. ''Dikaia zoe'' ni maisha ya kiutu yanayopingana na ''[[hybris]]'' (kiburi) na ushenzi.

Kwa [[Kilatini]] kutokana na neno ''jus'', haki, linapatikana neno ''justus'', mwenye kujali haki, na hatimaye ''justitia'', iliyo [[adili]] la msingi la [[utu]] linalotufanya tumpatie mwingine anachostahili.


Maana ya haki inatofautiana Kwa kila [[utamaduni]]. Katika maana ya kwanza kabisa ambayo ilitafsiriwa na [[mwanafalsafa]] wa Ugiriki, [[Plato]] kwenye kazi yake ''Jamhuri''. Kutokana na historia dhana mbalimbali zimegunduliwa.
Kwa [[Kigiriki]] inaitwa ''dikaiosyne'', kutokana na neno asili ''dike'' yaani ''anayeelekeza'' na kwa hiyo pia ''mwongozo, utaratibu''. Tofauti na ''[[nomos]]'', yaani sheria inayoongoza wanyama pia, ''dike'' inahitajiwa na [[binadamu]] ili kuishi kwa utaratibu. Ni kinyume cha ''bie'', ukatili, nguvu inayoangamiza. ''Dikaios'' (mwenye kujali haki), ni mtu anayemtendea kila mmoja haki yake. ''Dikaia zoe'' ni maisha ya kiutu yanayopingana na ''[[hybris]]'' (kiburi) na ushenzi.


==Tanbihi==
Kwa [[Kilatini]] kutokana na neno ''jus'', haki, linapatikana neno ''justus'', mwenye kujali haki, na hatimaye ''justitia'', iliyo [[adili]] la msingi la utu linalotufanta tumpatie mwingine anachostahili.maana ya haki inatofautiana na kila [[utamaduni]]. Ka tika maana ya kwanza kabisa ambayo ilitafsiliwa na filosofia wa kigiriki [[Plato]] kwenye kazi yake '' kwaJamhuri ''. Kutokana na historia dhana mbalimbali zimegunduliwa.


==utambulishaji wa uelewa==
[[File:Luca Giordano 013.jpg|thumb|haki ilivyoonyeshwa na [[Luca Giordano]].]]
[[File:JMR-Memphis1.jpg|thumb|300px|right|[[Lady Justice]], alama ya haki. Alikuwa anakubalika kama [[mungu]] alitumia vitu 3, : upanga, ikiwakilisha mamlaka ya [[mahaklama]]; [[mzani]], unaowakilisha kitu ambacho kimepimwa dhidi ya kingine ; na mwisho ameshika kitu kinacho wakilicha haki lazima ifuatwe bila kujali pesa ,uwezo wa mtu au mamlaka aliyonayo.<ref>Luban, ''Law's Blindfold'', 23.</ref>]]
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Maadili]]

Pitio la 12:48, 8 Novemba 2015

Maadili bawaba
Haki
Haki ilivyoonyeshwa na Luca Giordano.
Bibi Haki, kielelezo cha adili hili, amechorwa kama mungu wa kike akiwa na vifaa vitatu: upanga, mizani na kitambaa cha macho.[1]
Haki

Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano.

Kwa Kigiriki inaitwa dikaiosyne, kutokana na neno asili dike yaani anayeelekeza na kwa hiyo pia mwongozo, utaratibu. Tofauti na nomos, yaani sheria inayoongoza wanyama pia, dike inahitajiwa na binadamu ili kuishi kwa utaratibu. Ni kinyume cha bie, ukatili, nguvu inayoangamiza. Dikaios (mwenye kujali haki), ni mtu anayemtendea kila mmoja haki yake. Dikaia zoe ni maisha ya kiutu yanayopingana na hybris (kiburi) na ushenzi.

Kwa Kilatini kutokana na neno jus, haki, linapatikana neno justus, mwenye kujali haki, na hatimaye justitia, iliyo adili la msingi la utu linalotufanya tumpatie mwingine anachostahili.

Maana ya haki inatofautiana Kwa kila utamaduni. Katika maana ya kwanza kabisa ambayo ilitafsiriwa na mwanafalsafa wa Ugiriki, Plato kwenye kazi yake Jamhuri. Kutokana na historia dhana mbalimbali zimegunduliwa.

Tanbihi

  1. Luban, Law's Blindfold, 23.