Utu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Utu ni ile hali ya binadamu kutenda kadiri ya hadhi yake kati ya wanyama na viumbe vingine, inayomfanya astahili kupata haki zote za kijamii kama elimu, afya, ajira nk.

Kwa maana nyingine, utu ni ile hali ya kutenda jambo kwa mwingine bila ya kutegemea malipo yoyote kutoka kwake.