Mizani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mizani ya kielektroniki.

Mizani ni chombo kinachotumika kupimia uzito.

Namna zake zimebadilika sana katika historia, hadi kufikia mizani ya kieletroniki inayotumika sana leo.

Mizani inatumika pia kama alama ya haki, kwa kuwa hiyo inadai uamuzi utokane na tathmini makini ya mambo yote.

Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mizani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.