Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
|||
Mstari 29: | Mstari 29: | ||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/differential_equation differential equation] * sw: [[mlinganyo tenguo]] |
#[http://en.wikipedia.org/wiki/differential_equation differential equation] * sw: [[mlinganyo tenguo]] |
||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/electronic_music electronic music] * sw: [[muziki wa elektroniki]] |
#[http://en.wikipedia.org/wiki/electronic_music electronic music] * sw: [[muziki wa elektroniki]] |
||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/endangered_species endangered species] * sw: [[spishi adimu]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/endocrine_system endocrine system] * sw: [[mfumo wa tezi]] |
#[http://en.wikipedia.org/wiki/endocrine_system endocrine system] * sw: [[mfumo wa tezi]] |
||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/fashion fashion] * sw: [[fasheni]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/function function] * sw: [[function]] |
#[http://en.wikipedia.org/wiki/function function] * sw: [[function]] |
||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/gambling gambling] * sw: [[gambling]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/game game] * sw: [[mchezo]] |
|||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/general_relativity general relativity] * sw: [[general relativity]] |
#[http://en.wikipedia.org/wiki/general_relativity general relativity] * sw: [[general relativity]] |
||
#[http://en.wikipedia.org/wiki/headache headache] * sw: [[maumivu ya kichwa]] |
#[http://en.wikipedia.org/wiki/headache headache] * sw: [[maumivu ya kichwa]] |
Pitio la 08:52, 20 Agosti 2015
Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.
Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.
Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.
Kila mwanawikipedia anaombwa kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni makla ya jina unaweza kuanza mara moja. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.
Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "Brussels" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.
Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi
(hali ya Agosti 2015) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)
OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!
- acceleration * sw: mchapuko
- addiction * sw: addiction
- algorithm * sw: algorithm
- animation * sw: animation
- artificial intelligence * sw: akili bandia
- Capacitor * sw: kapasita
- circulatory system * sw: mfumo wa mzunguko wa damu
- classical mechanics * sw: classical mechanics
- complex number * sw: namba changamano
- conservation of energy * sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
- dialectic * sw: upembuzi
- differential equation * sw: mlinganyo tenguo
- electronic music * sw: muziki wa elektroniki
- endocrine system * sw: mfumo wa tezi
- function * sw: function
- general relativity * sw: general relativity
- headache * sw: maumivu ya kichwa
- heart attack * sw: heart attack
- immune system * sw: immune system
- inductor * sw: inductor
- infinity * sw: infinity
- information * sw: taarifa
- linear algebra * sw: linear algebra
- literacy * sw: literacy
- logarithm * sw: logi
- martial arts * sw: martial arts
- mathematical analysis * sw: mathematical analysis
- mathematical proof * sw: mathematical proof
- mental disorder * sw: Ugonjwa wa akili
- Mind * sw: Mind
- natural disaster * sw: natural disaster
- nuclear fission * sw: nuclear fission
- number theory * sw: number theory
- numerical analysis * sw: numerical analysis
- operating system * sw: operating system
- pandemic * sw: pandemic
- pharmaceutical drug * sw: dawa za famasia
- physical chemistry * sw: kemia ya fizikia
- programming language * sw: programming language
- quantum mechanics * sw: quantum mechanics
- reproductive system * sw: mfumo wa uzazi
- resistor * sw: resistor
- semiconductor * sw: semiconductor
- set theory * sw: set theory
- software * sw: software
- special relativity * sw: special relativity
- strong interaction * sw: strong interaction
- thermodynamics * sw: thermodynamics
- transformer * sw: transfoma
- transistor * sw: transista
- weak interaction * sw: weak interaction