Wamaroni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yi:מאראן
d r2.5.2) (roboti Badiliko: arc:ܥܕܬܐ ܡܪܘܢܝܬܐ; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:AleppoMaroniteCathedral.jpg|thumb|250px||Kanisa kuu la Kimaroni la [[Alep]].]]
[[Picha:AleppoMaroniteCathedral.jpg|thumb|250px||Kanisa kuu la Kimaroni la [[Alep]].]]
'''Kanisa la Wamaroni''' ni [[Kanisa sui iuris]] (yaani ''la kujitegemea'') ndani ya [[Kanisa Katoliki]].
'''Kanisa la Wamaroni''' ni [[Kanisa sui iuris]] (yaani ''la kujitegemea'') ndani ya [[Kanisa Katoliki]].


Linafuata [[mapokeo]] maalumu ya mashariki yenye mzizi katika [[Ukristo]] wa lugha na utamaduni wa [[Kiaramu]] uliokuwa na makao makuu [[Antiokia]] ya [[Syria]].
Linafuata [[mapokeo]] maalumu ya mashariki yenye mzizi katika [[Ukristo]] wa lugha na utamaduni wa [[Kiaramu]] uliokuwa na makao makuu [[Antiokia]] ya [[Syria]].
Mstari 11: Mstari 11:




==Viungo vya nje==
== Viungo vya nje ==
*[http://www.bkerke.org.lb Tovuti rasmi ya Kanisa la Wamaroni]
* [http://www.bkerke.org.lb Tovuti rasmi ya Kanisa la Wamaroni]
*[http://www.gcatholic.com/dioceses/data/riteM.htm Orodha ya majimbo ya Kanisa la Wamaroni]
* [http://www.gcatholic.com/dioceses/data/riteM.htm Orodha ya majimbo ya Kanisa la Wamaroni]


[[Category:Ukristo]]
[[Jamii:Ukristo]]


[[ar:الكنيسة المارونية]]
[[ar:الكنيسة المارونية]]
[[arc:ܡܪܘܢܝܐ]]
[[arc:ܥܕܬܐ ܡܪܘܢܝܬܐ]]
[[bg:Маронити]]
[[bg:Маронити]]
[[bs:Maroniti]]
[[bs:Maroniti]]

Pitio la 18:16, 10 Januari 2011

Kanisa kuu la Kimaroni la Alep.

Kanisa la Wamaroni ni Kanisa sui iuris (yaani la kujitegemea) ndani ya Kanisa Katoliki.

Linafuata mapokeo maalumu ya mashariki yenye mzizi katika Ukristo wa lugha na utamaduni wa Kiaramu uliokuwa na makao makuu Antiokia ya Syria.

Linatunza liturujia, teolojia na maisha ya kiroho ya mazingira hayo kulingana na tapo lililoanzishwa na Maroni, mwanzilishi wa monasteri maarufu katika karne ya 4.

Patriarki wake anachaguliwa na Sinodi ya maaskofu wa Kanisa hilo, halafu anamuomba Papa wa Roma ushirika kamili. Anaishi Bkerke (Lebanoni), ambapo ana jimbo lake, ingawa anatumia bado jina rasmi la Antiokia.

Huko Lebanoni, ni kundi kubwa, ingawa wanazidi kupungua kwa sababu ya kuhamia nchi nyingine.


Viungo vya nje