Wamaroni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kanisa kuu la Kimaroni la Alep (Syria).

Wamaroni ni sehemu kubwa mojawapo ya watu wa Lebanoni.

Kinachowatambulisha zaidi, pamoja na historia yao, ni imani ya Kikristo katika Kanisa la Wamaroni, ambalo lina ushirika kamili na Papa wa Roma na Kanisa Katoliki lote duniani.