Danubi (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mbegu-jio-Ulaya
d roboti Nyongeza: hsb, szl, war Badiliko: cv; cosmetic changes
Mstari 11: Mstari 11:

[[Image:Danubemap.JPG|thumb|300px|left|Ramani ya Danubi]]
[[Picha:Danubemap.JPG|thumb|300px|left|Ramani ya Danubi]]
'''Danubi''' ni mto mrefu wa pili katika [[Ulaya]] baada ya [[Volga (mto)|Volga]].
'''Danubi''' ni mto mrefu wa pili katika [[Ulaya]] baada ya [[Volga (mto)|Volga]].

Jina lina sili katika lugha za Kislanovi na kumaanisha kiasili "mto".
Jina lina sili katika lugha za Kislanovi na kumaanisha kiasili "mto".

==Chanzo na mwendo==
== Chanzo na mwendo ==
Danubi inaanza [[Ujerumani]] ambako mito midogo ya Brigach na Breg inakutana karibu na mji [[Donaueschingen]] katika eneo la [[Msitu Mweusi]]. Danubi inaishia [[Romania]] katika [[delta]] yake kwenye [[Bahari Nyeusi]].

===Mto wa nchi kumi===
=== Mto wa nchi kumi ===
Danubi ni mto wa nchi kumi. Kwenye 1070 km (37 %) za mwendo wake mto ni mpaka wa nchi fulani. Mto haupiti hata kidogo ndani ya Kroatia, Bulgaria, Ukraine na Moldova lakini ni mstari wa mpaka wa nchi hizi zinagusana na Danubi tu ukingoni wa mto upande mmoja. Inapita katika nchi zifuatazo au kugusa mipaka yao:

Mstari 24: Mstari 24:
|+ '''Nchi kwenye Danubi'''
|+ '''Nchi kwenye Danubi'''
|width=19% height= 20 align=right valign=bottom|
|width=19% height= 20 align=right valign=bottom|
|width=16% align=center rowspan=2 bgcolor=#FF99CC|'''Kilomita
za mto nchini
au mpakani'''
|width=16% align=center rowspan=2 bgcolor=#FF99CC|'''Kilomita
za mto nchini
au mpakani'''
|width=16% align=center valign=bottom colspan=2 bgcolor=#CCFFCC|'''Ukingo wa mto
upande wa kulia'''
|width=16% align=center valign=bottom colspan=2 bgcolor=#CCFFCC|'''Ukingo wa mto
upande wa kulia'''
|width=15% align=center valign=bottom colspan=2 bgcolor=#99CCFF|'''Kingo zote mbili'''
|width=15% align=center valign=bottom colspan=2 bgcolor=#99CCFF|'''Kingo zote mbili'''
|width=16% align=center valign=bottom colspan=2 bgcolor=#CCFFCC|'''Ukingo wa mto
upande wa kushoto'''
|width=16% align=center valign=bottom colspan=2 bgcolor=#CCFFCC|'''Ukingo wa mto
upande wa kushoto'''

| height= 20 bgcolor=#C0C0C0|'''Nchi - jina la mto nchini'''
| height= 20 bgcolor=#C0C0C0|'''Nchi - jina la mto nchini'''
Mstari 55: Mstari 55:
| align=right valign=bottom|11
| align=right valign=bottom|11

| height= 19|[[Slovakia]] - Dunaj
tamka: dunay
| height= 19|[[Slovakia]] - Dunaj
tamka: dunay
| align=right|172,06
| align=right|172,06
| align=right valign=bottom|22,5
| align=right valign=bottom|22,5
Mstari 131: Mstari 131:

==Picha==
== Picha ==
<gallery>
<gallery>
Image:Containerschiff in Linz.jpg|Meli za mtoni kwenye Danubi
Image:Containerschiff in Linz.jpg|Meli za mtoni kwenye Danubi
Mstari 139: Mstari 139:
</gallery>
</gallery>

[[Category:Mito ya Ulaya]]
[[Jamii:Mito ya Ulaya]]
[[Category:Mito ya Ujerumani]]
[[Jamii:Mito ya Ujerumani]]
[[Category:Mito ya Austria]]
[[Jamii:Mito ya Austria]]
[[Category:Mito ya Slovakia]]
[[Jamii:Mito ya Slovakia]]
[[Category:Mito ya Hungaria]]
[[Jamii:Mito ya Hungaria]]
[[Category:Mito ya Serbia]]
[[Jamii:Mito ya Serbia]]
[[Category:Mito ya Romania]]
[[Jamii:Mito ya Romania]]
[[Jamii:Bahari Nyeusi]]
[[Jamii:Bahari Nyeusi]]

Mstari 176: Mstari 176:
[[cs:Dunaj]]
[[cs:Dunaj]]
[[cu:Доунавъ]]
[[cu:Доунавъ]]
[[cv:Танай (юханшыв)]]
[[cv:Тăнай шывĕ]]
[[cy:Afon Donaw]]
[[cy:Afon Donaw]]
[[da:Donau]]
[[da:Donau]]
Mstari 196: Mstari 196:
[[hif:Danube]]
[[hif:Danube]]
[[hr:Dunav]]
[[hr:Dunav]]
[[hsb:Dunaj]]
[[hu:Duna]]
[[hu:Duna]]
[[id:Donau]]
[[id:Donau]]
Mstari 234: Mstari 235:
[[stq:Donau]]
[[stq:Donau]]
[[sv:Donau]]
[[sv:Donau]]
[[szl:Důnaj]]
[[ta:தன்யூப் ஆறு]]
[[ta:தன்யூப் ஆறு]]
[[th:แม่น้ำดานูบ]]
[[th:แม่น้ำดานูบ]]
Mstari 242: Mstari 244:
[[vec:Danuvio]]
[[vec:Danuvio]]
[[vi:Sông Donau]]
[[vi:Sông Donau]]
[[war:Danube]]
[[yi:דוניי]]
[[yi:דוניי]]
[[zh:多瑙河]]
[[zh:多瑙河]]

Pitio la 16:40, 18 Agosti 2009

Mto wa Danubi
Mto wa Danubi huko Budapest (Hungaria)
Mto wa Danubi huko Budapest (Hungaria)
Chanzo Milima ya Msitu Mweusi, Ujerumani
Mdomo Bahari Nyeusi
Nchi za beseni ya mto Romania (28.9%), Hungaria (11.7%), Austria (10.3%), Serbia (10.3%), Ujerumani (7.5%), Slovakia (5.8%), Bulgaria (5.2%), Bosnia na Herzegovina (4.8%), Kroatia (4.5%), Ukraine (3.8%), Ucheki (2.6%), Slovenia (2.2%), Moldova (1.7%), Uswisi (0.32%), Italia (0.15%), Poland (0.09%), Albania (0.03%)
Urefu 2,857 km
Kimo cha chanzo 1,087 m
Kiasi cha maji kinachotolewa mdomoni 6,500 m³/s
Eneo la beseni (km²) 801,463 km²
Ramani ya Danubi

Danubi ni mto mrefu wa pili katika Ulaya baada ya Volga.

Jina lina sili katika lugha za Kislanovi na kumaanisha kiasili "mto".

Chanzo na mwendo

Danubi inaanza Ujerumani ambako mito midogo ya Brigach na Breg inakutana karibu na mji Donaueschingen katika eneo la Msitu Mweusi. Danubi inaishia Romania katika delta yake kwenye Bahari Nyeusi.

Mto wa nchi kumi

Danubi ni mto wa nchi kumi. Kwenye 1070 km (37 %) za mwendo wake mto ni mpaka wa nchi fulani. Mto haupiti hata kidogo ndani ya Kroatia, Bulgaria, Ukraine na Moldova lakini ni mstari wa mpaka wa nchi hizi zinagusana na Danubi tu ukingoni wa mto upande mmoja. Inapita katika nchi zifuatazo au kugusa mipaka yao:

Nchi kwenye Danubi
Kilomita
za mto nchini
au mpakani
Ukingo wa mto
upande wa kulia
Kingo zote mbili Ukingo wa mto
upande wa kushoto
Nchi - jina la mto nchini km % km % km %
Ujerumani - Donau 687,00 658,6 23 658,6 36 687,0 24
Austria - Donau 357,50 357,5 12 321,5 18 321,5 11
Slovakia - Dunaj
tamka: dunay
172,06 22,5 1 22,5 1 172,1 6
Hungaria - Duna 417,20 417,2 14 275,2 15 275,2 10
Kroatia - Dunav 137,50 137,5 5 0,0 0 0,0 0
Serbia - Дунав / Dunav 587,35 449,9 16 220,5 12 358,0 12
Romania - Dunăre 1075,00 374,1 13 319,6 18 1020,5 35
Bulgaria - Дунав (Dunav) 471,55 471,6 16 0,0 0 0,0 0
Moldova - Dunare 0,57 0,0 0 0,0 0 0,6 0
Ukraine - Дунай (Dunay) 53,94 0,0 0 0,0 0 53,9 2

Namba za asilimia zinahusu urefu wa mto wote na sehemu ya kila nchi (Rejeo: Kamati ya kimatifa ya Danubi, Budapest, Januari 2000-Machi 2004)

Picha

Kigezo:Link FA

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Danubi (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA