Volga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Volga (mto))
Volga
Mto Volga huko Yaroslavl
Chanzo vilima ya Valdai, mkoa wa Tver Oblast, Urusi
Mdomo Bahari ya Kaspi
Nchi Urusi
Urefu 3,692 km
Kimo cha chanzo 225 m
Tawimito mto Oka, mto Kama
Mkondo 8,060 m³/s (karibu na Volgograd)
Eneo la beseni 1,380,000 km²
Miji mikubwa kando lake Astrakhan, Volgograd, Samara, Kazan, Nizhny Novgorod, Yaroslavl
Beseni la Volga.

Volga (kwa Kirusi: Волга) ni mto mrefu kuliko yote ya Ulaya. Mwendo wake kuanzia chanzo hadi mdomo uko nchini Urusi. Urefu wake ni km 3,690. Inanaza kaskazini- magharibi ya Moskva na kupita kwenye tambarare za Urusi ya magharibi. Inaishia kwenye Bahari ya Kaspi kwa kimo cha -28 (chini ya UB) karibu na mji wa Astrakhan. Volga inapokea takriban mito 200 inayoishia humo.

Mto ni njia ya maji muhimu inayounganana na:

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Volga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.