Bernardo wa Menthon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:


Tangu kale aliheshimiwa kama [[mtakatifu]]; hatimaye [[mwaka]] [[1681]] [[Papa Inosenti XI]] alithibitisha sifa hiyo.
Tangu kale aliheshimiwa kama [[mtakatifu]]; hatimaye [[mwaka]] [[1681]] [[Papa Inosenti XI]] alithibitisha sifa hiyo.

[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[15 Juni]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.


==Tazama pia==
==Tazama pia==

Pitio la 07:56, 14 Juni 2021

Sanamu yake juu ya mlima Piccolo San Bernardo.
Mt. Bernardo katika bendera ya kikundi fulani.

Bernardo wa Menthon, C.R.S.A. (au Bernardo wa Montjoux; Aosta, Italia, 1020 - Novara, Italia, 12 Juni 1081) alikuwa padri Mwaugustino mwanzilishi wa shirika la kitawa[1] ambalo lipo hadi leo likiwa na wanachama 40 wenye nadhiri.

Tangu kale aliheshimiwa kama mtakatifu; hatimaye mwaka 1681 Papa Inosenti XI alithibitisha sifa hiyo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.