Kimalagasy : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/mala1537 lugha za Kimalagasy katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/mala1537 lugha za Kimalagasy katika Glottolog]
*[http://www.ethnologue.com/language/mlg lugha za Kimalagasy kwenye Ethnologue]
*[http://www.ethnologue.com/language/mlg lugha za Kimalagasy kwenye Ethnologue]
{{African Union languages}}

{{mbegu-lugha}}
{{mbegu-lugha}}



Pitio la 13:56, 18 Aprili 2020

Kimalagasy ni mlolongo wa lugha za Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Lugha za Kimalagasy hasa ni Kiantankarana, Kibara, Kibetsimisaraka-Kaskazini, Kibetsimisaraka-Kusini, Kimasikoro, Kisakalava, Kimalagasy Sanifu, Kitandroy-Mahafaly, Kitanosy, Kitesaka na Kitsimihety. Idadi ya wasemaji wote wa lugha za Kimalagasy imezidi watu milioni 16. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha za Kimalagasy iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.