Lugha za Kisemiti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hu:Sémi nyelvek |
d roboti Ondoa: ku:Şemî |
||
Mstari 44: | Mstari 44: | ||
[[ja:セム語派]] |
[[ja:セム語派]] |
||
[[kab:Tutlayin tisamiyin]] |
[[kab:Tutlayin tisamiyin]] |
||
[[ku:Şemî]] |
|||
[[kw:Yethow Semitek]] |
[[kw:Yethow Semitek]] |
||
[[lt:Semitų kalbos]] |
[[lt:Semitų kalbos]] |
Pitio la 20:14, 4 Februari 2008
Lugha za Kisemiti ni kundi ya lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 katika Asia ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini na Afrika ya Mashariki. Zahesabiwa kama tawi la lugha za Kiafrika-Kiasia.
Lugha za Kisemiti leo
Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wako hasa Ethiopia na Eritrea halafu Israel. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:
- Kiarabu chajadiliwa kwa lahaja mbalimbali ikiwa Kiarabu sanifu ni pia lugha rasmi katika nchi nyingi za Afrika ya Kaskazini na Mashariki ya Kati (wasemaji milioni 200-220)
- Kiamhari ambayo ni lugha rasmi ya Ethiopia (wasemaji milioni 17)
- Kitigrinya ambayo ni lugha rasmi katika Eritrea na jimlo la Tigray la Ethiopia. (wasemaji milioni 5)
- Kiebrania ambayo ni lugha rasmi nchini Israel (wasemaji milioni 5)
- Kiaramu kilichorudi nyuma sana lakini bado chajadiliwa katika Syria, Irak, Uturuki na Uajemi kwa lahaja mbalimbali. (bado takriban wasemaji 500,000 hadi milioni moja
- Kimalta ambacho ni lugha ya Kisemiti ya pekee ya Ulaya ikiwa ni lugha rasmi nchini Malta. (wasemaji lakhi 3)
- Lugha za Bara Arabu kusini zajadiliwa hasa katika Omani na Yemeni; ni lugha tofauti na Kiarabu chenyewe kuna bado wasemaji 300,000
Lugha za kihistoria
Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizi ni lugha za Babeli, Ashur, Kanaan, Moabu na kwa jumla lugha za mataifa mengi zinazotajwa katika Biblia.