Tungamo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Masi''' ('''''Tungamo''''') katika elimu ya [[fizikia]] ni tabia ya [[mata]], na kwa njia hii pia tabia ya [[gimba]] au [[dutu]].
'''Masi''' (kutoka [[Kiingereza]]: "mass"; kwa [[Kiswahili]] pia: '''Tungamo''') katika [[elimu]] ya [[fizikia]] ni [[tabia]] ya [[mata]], na kwa njia hii pia tabia ya [[gimba]] au [[dutu]].


[[Kipimo sanifu cha kimataifa]] cha masi ni [[kilogramu]]. [[Alama]] yake katika fomula kwa kawaida ni <math>m</math>.
[[Kipimo sanifu cha kimataifa]] cha masi ni [[kilogramu]]. [[Alama]] yake katika [[fomula]] kwa kawaida ni <math>m</math>.


==Masi na uzani==
==Masi na uzani==
Masi ni tofauti na [[uzani]] lakini katika maisha ya kawaida hatuoni tofauti. Hivyo tunatumia kipimo cha kilogramu pia kwa kutaja uzani wa sukari tunayonunua. Lakini hali halisi uzani wa gimba au masi ileile ni tofauti kutegemeana na graviti mahali ilipo. Kwa mfano mtu akifika mwezini uzani ni sehemu ya sita ya uzani wake duniani. Kwa hiyo mtu mweye uzito wa kilogramu 60 duniani atakuwa na kilogramu 10 pekee akipimwa mwezini. Sababu yake ni ya kwamba graviti ya mwezi ni ndogo kuliko duniani.
Masi ni tofauti na [[uzani]] lakini katika [[maisha]] ya kawaida hatuoni tofauti. Hivyo tunatumia [[kipimo]] cha kilogramu pia kwa kutaja uzani wa [[sukari]] tunayonunua. Lakini hali halisi uzani wa gimba au masi ileile ni tofauti kutegemeana na [[graviti]] mahali ilipo. Kwa mfano [[mtu]] akifika juu ya [[mwezi]] uzani ni sehemu ya [[sita]] ya uzani wake [[duniani]]. Kwa hiyo mtu mwenye uzito wa kilogramu 60 duniani atakuwa na kilogramu 10 pekee akipimwa juu ya mwezi. Sababu yake ni ya kwamba graviti ya mwezi ni ndogo kuliko duniani.


==Masi na graviti==
==Masi na graviti==
[[Graviti]] ya gimba fulani inategemeana na masi yake. Kila kitu hata gimba dogo kama jiwe, meza au mtu kina graviti yake. Ila tu masi kubwa ya [[dunia]] yetu inafanya graviti yake yaani nguvu inayosababisha ya kwamba watu na vitu havielei hewani bali kukaa kwenye uso wa ardhi tukivutwa kuelekea kitovu cha sayari yetu. Vitu vyote vinyvoshikwa na graviti ya dunia vina graviti yao vilevile lakini kwa sababu masi ya watu na vitu ni ndogo kabisa kuliko masi ya dunia hatuwezi kusikia tofauti. Pia mwezi unavutwa na graviti ya dunia yetu lakini masi ya mwezi ni kubwa kiasi graviti ya [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] inaathiri pia dunia. Hii inaonekana kirahisi kutokana na mabadiliko ya bahari kuwa [[maji kujaa na kupwa]] yanayosababishwa na uvutano wa graviti ya mwezi.
[[Graviti]] ya gimba fulani inategemeana na masi yake. Kila kitu hata gimba dogo kama [[jiwe]], [[meza]] au mtu lina graviti yake. Ila tu masi kubwa ya [[dunia]] yetu inafanya graviti yake yaani nguvu inayosababisha ya kwamba watu na vitu havielei [[Hewa|hewani]] bali kukaa kwenye uso wa ardhi tukivutwa kuelekea [[kitovu]] cha [[sayari]] yetu. Vitu vyote vinavyoshikwa na graviti ya dunia vina graviti yao vilevile lakini kwa sababu masi ya watu na vitu ni ndogo kabisa kuliko masi ya dunia hatuwezi kusikia tofauti. Pia mwezi unavutwa na graviti ya dunia yetu lakini masi ya mwezi ni kubwa kiasi kwamba graviti ya [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] inaathiri pia dunia. Hii inaonekana kirahisi kutokana na mabadiliko ya [[bahari]] kuwa [[maji kujaa na kupwa]] yanayosababishwa na uvutano wa graviti ya mwezi.


==Masi na inesha==
==Masi na inesha==
Masi inafanya pia [[inesha]] (''inertia'') ya gimba fulani. Inesha ni tabia ya masi kubakia katika hali yake ya kutulia au kuwa na mwendo fulani hadi iathiriwe na nguvu ya nje. Masi kubwa zaidi huwa na inesha kubwa zaidi na inahitaji nguvu kubwa zaidi kwa kubadilisha mwendo wake. Tunaiona kirahisi tukijaribu kusukuma baisikeli, gari au lori: masi zao ni tofauti hivyo nguvu inayohitajika kuzisukuma au kuzisimamisha inatofautiana.
Masi inafanya pia [[inesha]] (''inertia'') ya gimba fulani. Inesha ni tabia ya masi kubaki katika hali yake ya kutulia au kuwa na mwendo fulani hadi iathiriwe na nguvu ya nje. Masi kubwa zaidi huwa na inesha kubwa zaidi na inahitaji nguvu kubwa zaidi kwa kubadilisha mwendo wake. Tunaiona kwa urahisi tukijaribu kusukuma [[baisikeli]], [[gari]] au [[lori]]: masi zake ni tofauti, hivyo nguvu inayohitajika kuzisukuma au kuzisimamisha inatofautiana.

.
{{mbegu-fizikia}}
{{mbegu-fizikia}}



Pitio la 10:08, 24 Novemba 2018

Masi (kutoka Kiingereza: "mass"; kwa Kiswahili pia: Tungamo) katika elimu ya fizikia ni tabia ya mata, na kwa njia hii pia tabia ya gimba au dutu.

Kipimo sanifu cha kimataifa cha masi ni kilogramu. Alama yake katika fomula kwa kawaida ni .

Masi na uzani

Masi ni tofauti na uzani lakini katika maisha ya kawaida hatuoni tofauti. Hivyo tunatumia kipimo cha kilogramu pia kwa kutaja uzani wa sukari tunayonunua. Lakini hali halisi uzani wa gimba au masi ileile ni tofauti kutegemeana na graviti mahali ilipo. Kwa mfano mtu akifika juu ya mwezi uzani ni sehemu ya sita ya uzani wake duniani. Kwa hiyo mtu mwenye uzito wa kilogramu 60 duniani atakuwa na kilogramu 10 pekee akipimwa juu ya mwezi. Sababu yake ni ya kwamba graviti ya mwezi ni ndogo kuliko duniani.

Masi na graviti

Graviti ya gimba fulani inategemeana na masi yake. Kila kitu hata gimba dogo kama jiwe, meza au mtu lina graviti yake. Ila tu masi kubwa ya dunia yetu inafanya graviti yake yaani nguvu inayosababisha ya kwamba watu na vitu havielei hewani bali kukaa kwenye uso wa ardhi tukivutwa kuelekea kitovu cha sayari yetu. Vitu vyote vinavyoshikwa na graviti ya dunia vina graviti yao vilevile lakini kwa sababu masi ya watu na vitu ni ndogo kabisa kuliko masi ya dunia hatuwezi kusikia tofauti. Pia mwezi unavutwa na graviti ya dunia yetu lakini masi ya mwezi ni kubwa kiasi kwamba graviti ya mwezi inaathiri pia dunia. Hii inaonekana kirahisi kutokana na mabadiliko ya bahari kuwa maji kujaa na kupwa yanayosababishwa na uvutano wa graviti ya mwezi.

Masi na inesha

Masi inafanya pia inesha (inertia) ya gimba fulani. Inesha ni tabia ya masi kubaki katika hali yake ya kutulia au kuwa na mwendo fulani hadi iathiriwe na nguvu ya nje. Masi kubwa zaidi huwa na inesha kubwa zaidi na inahitaji nguvu kubwa zaidi kwa kubadilisha mwendo wake. Tunaiona kwa urahisi tukijaribu kusukuma baisikeli, gari au lori: masi zake ni tofauti, hivyo nguvu inayohitajika kuzisukuma au kuzisimamisha inatofautiana.

Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tungamo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.